Mapenzi yana mambo mengi sanaa, yenye kuleta furaha na huzuni pia yote hayo ni sehem ya mapenzi.
Enzi za zamani Kutokana na hali ngumu ya mawasiliano kulikuwa na uwezekano kumpenda mtu kwa Mda mrefu bila hata kuonana.Hii Imekuja Kuwa tofauti sana na kizazi cha sasa yaani siku mbili bila kuwasiliana itakuwa ugomvi mkubwa mnaweza hata mkaachana.
Hebu tuangalie swala zima la sex kwenye mapenzi, kwa sasa sex ndio imetawala kwenye mapenzi kiasi kwamba mwenza wako usifanya naye sex anaona kama hakupendi.
Utafiti unaonyesha kwamba sex imeharibu mahusiano ya watu wengi kwani kufanya sex sio njia Pekee ya kumfanya mwenza wako usichepuke bali sex imepelekea ongezeko la michepuko.
Kuonyesha kwamba umesheheni mapenzi ya kweli sio kwa njia ya sex tu, unatakiwa kuonyesha upendo, mfanye mwenza wako awe na furaha Mda wote, mwambie mara kwa mara kuwa unampenda, mpe kipaumbele sana Kuliko wewe mwenyewe, usimuweke sana daraja la chini uwe unasikiliza mawazo yake n.k
Hayo yatakusaidia kudumisha mapenzi ila ukiwa mpenda sana sex, tambua kabisa unaingia katika wimbi la wasiwasi, kutoaminika na mwenzako akidhani kwamba ukikosa sex unaweza ukauza penzi lake Kwa mtu mwingine.
Mapenzi Mapenzi
Endelea kukufuatilia mwambie na mwenzako huku pamenoga
No comments:
Post a Comment